Powered by Blogger.

the one year success plan

Saturday, May 28, 2011

for steps to success

HIVI GPRS NI KITU GANI?

GPRS ni kifupisho cha General Packet Radio Service, ni huduma ya simu inayowezesha kutumwa na kupokelewa kwa habari kupitia mitandao ya simu(inunganisha simu katika mtandao wa internet), malipo ya gharama zake hutozwa kutokana na ukubwa wa data. Ugunduzi wa GPRS ni hatua kubwa sana katika ukuaji wa teknolojia ya simu. Sifa moja kubwa ya gprs ni kwamba inauwezo wa kufanya shughuli zaidi ya moja kwa wakati mmoja, kwa mfano unaweza kupokea sms katika simu wakati unaongea na mtu bila na ukaijibu hiyo sms bila kukata simu. Huduma hii inasaidia simu ziweze kusafirisha data katika kasi kubwa sana.

MAKE THE IMPOSSIBLE POSSIBLE

Wednesday, May 25, 2011

can something impossible become possible? It depends on what you conceive in your mind. What you think is impossible to you, it may not be impossible to me and what i think is impossible to me, it may not seem to be impossible to you
What you need to do is use your power of positive thinking to make what seems impossible to become possible.A man gets what he conceives in his mind! so if you consider something to be impossible then that is what is going to be! But if you conceptualize the idea and consider it to be possible then that exactly thing is going to be possible for you
The universe always responds to the orders which we give to it that is we get what we attract in our minds
Angalia video hii ujifunze nguvu ya mtazamo chanya

GREATNESS WITHIN YOU

Tuesday, May 24, 2011

you can not teach man anything;you can only help him find it within himself. Galileo
kila binadamu ana uwezo ndani yake, uwezo huu ndio unaomfanya mtu aweze kuyafanya yale anayoyafanya. Watu wengi hawajatambua uwezo ulio ndani yao na hivyo wanashindwa kufanya makubwa na kuishia kuiga mambo waliyofanya wengine
JINSI YA KUTAMBUA UWEZA NDANI YAKO
Penda ushindani: katika kila unachofanya jitahidi ufanye katika kiwango cha juu zaidi, hata kama ukisifiwa basi usibweteke jitahidi ukivuke kiwango ulichofikia mara ya kwanza, ushindani ni kinyume kabisa na kulalamika, ushindani ndio suluhisho la tabia za kulalamika ambazo zinarudisha maendeleo nyuma
Toka mahali ulipo, usiridhike na hali uliyonayo, hii itakujengea hari ya kutaka ushindani
Tizama video hii ikusaidie zaidi

MALENGO HALISIA

Monday, May 23, 2011

JINSI YA KUWEKA MALENGO
Kujifunza jinsi ya kuweka malengo ni muhimu sana kama ilivyo kujua lengo lenyewe, ukiweza kujifunza jinsi ya kuweka malengo utakuwa umepiga hatua kubwa sana kwasababu utajua unataka nini na utakipataje, watu wengi wanashindwa kufanikiwa aidha kwasababu hawajui kuweka malengo au wanaweka malengo madog
Huu ni muongozo utakao kusaidia kuweka malengo halisi
Weka malengo makubwa: Jaribu kupanua mawazo yako kufikiria vitu vikubwa ambavyo kwa kawaida unaona kama hauwezi kuvifikia hivi, fanya malengo yako yawe makubwa iwezekanavyo mpaka ukiyatathmini uogope, maana usipopatwa na hali hiyo ujue unachokilenga kipo ndani ya uwezo wako, jaribu kupanga unataka kuwa nani baada ya miaka 5 au 6 na unataka uweunafanya nini baada ya miaka hiyo
Malengo makubwa yanaweza kutimia itategemea namna unavyofanya kazi kuyatimiza malengo yako
Malengo yako yawe ya uhalisia pia yasiwe yakufikirika sana, hivyo unapopanga malengo jitahidi yawe katikati ya uhalisia na kufikirika, eleza kabisa unataka upate nini na ukipate lini
Katika kupanga malengo kuwa mkweli na muwazi kwako mwenyewe usijiwekee mipaka ukaogopa kuomba msaada, omba msaada pale inapobidi
Katika harakati za kutimiza malengo yako fanya tathmini ya malengo yako kila mara, kitendo hiki kinatakiwa kiwe endelevu usifanye tathmini mwishoni
SIFA ZA MALENGO THABITI
Kwanza lazima yawe wazi(specific) yataje unataka nini na kwa wakati gani ili mtu uweze kujua unatafuta nini.
Malengo yawe yanapimika, uwezekupima ni lini unaweza kuyatimiza malengo yako
Malengo yako lazima yaoneshe mpango kazi wako, yani utayafikiaje malengo hayo
Uhalisia, malengo yanatakiwa kuwa makubwa, unatakiwa kulenga mbali sana lakini lazima ujipe changamoto uone uhalisia wa unachokifikiria
Malengo yako yasiwe yakufikirika yawe tangible
HATUA ZA KUWEKA MALENGO THABITI
Weka lengo
Weka mikakati yako itakayokuwezesha kufikia malengo yako
Chagua mkakati bora kuliko yote kati ya hiyo uliyo weka ndio uutumie
Orodhesha wazi mipango ya kukamilisha mkakati wako

TANZANIA YAUNGANISHWA NA ULIMWENGU

Sunday, May 22, 2011


How Tanzania promotes ICT in entrepreneurship

University of Dar es salaam through its computing centre is doing a lot in promoting ICT in entrepreneurship
Strategies for promoting ICT

PROCASTINATION

Saturday, May 21, 2011

One of the major problems which hinder people from succeeding is Procastination
What is Procastination? by a simple definition procastination is a fear of failure and a fear of success. Many people in our Tanzania societies face this problem. If you fear to fail then you won't do anything,unless you overcome procastination, poverty will come on your way and you won't escape from it
Why does it seem to have very strong impact?
An ancient proverb states: "It is not the size of the tree but the depth of its roots that make it strong." Procrastination usually has very deep roots.




THE MOST INSPIRING WOMEN

Kumekuwa na kasumba katika bara letu la Afrika kwamba wanawake hawawezi kitu, wao ni watu tegemezi katika kila kitu, je ni kweli? vipi kuhusu Dr. Asha ROse Mijiro, vipi kuhusu Prof. Anna Tibaijuka vipi kuhusu mheshimiwa spika Anna Makinda? hawa ni baadhi ya wanawake wachache katika Tanzania ambao wameonesha kwamba si kweli kwamba wanawake hawawezi
Lets go beyond Tanzania and see how some of few women who have proved to the world that women are also capable when they decide to pursue their goals

Oprah Gail Winfrey
The richest African American of the 20th century
Oprah was born in January 29, 1954, Winfrey was born into poverty in rural Mississippi to a teenage single mother and later raised in an inner-city Milwaukee neighborhood. She experienced considerable hardship during her childhood, claiming to be raped at age nine and becoming pregnant at 14; her son died in infancy.[9] Sent to live with the man she calls her father, a barber in Tennessee, Winfrey landed a job in radio while still in high school and began co-anchoring the local evening news at the age of 19. Her emotional ad-lib delivery eventually got her transferred to the daytime talk show arena, and after boosting a third-rated local Chicago talk show to first place[5] she launched her own production company and became internationally syndicated.
She is an American television host, Actress, producer and philanthropist best known for her self-titled, multi-award winning talk show, which has become the highest-rated program of its kind in history.



The richest woman in Africa
Only 38 years old and HOT, Africa’s richest woman is Isabel dos Santos of Angola, a president's daughter
Isabel dos Santos is the eldest daughter of Angola's President José Eduardo dos Santos and Tatiana Kukanova from Azerbaijan, his first wife.[2] In London, where her mother now lives, she studied electrical engineering[3] and business management. There she met her husband from the Democratic Republic of the Congo, Sindika Dokolo,[4] the son of a millionaire from Kinshasa and his Danish wife. They married in 2003, in Luanda. The wedding, a 4 million-dollar party with 1000 guests, was one of the largest weddings in the history of the country. Reports in Portuguese newspapers said, that the guest were flown in from France and Portugal. Best man was the then Minister of Petroleum of Angola, Desidério Cos
She owns major shares in major Portuguese companies… the former colonial master of Angola.
How many sons and daughters of presidents are there? why are they not successful as Isabel?

UNSTOPPABLE ENTREPRENEUR

The 21st century is the world of entrepreneurship
Kila siku tunasikia Ujasiliamali ujasiliamaliUjasiliamali maana yake nini?, what is entrepreneurship?
Ujasiliamali ni kitendo cha mtu kuwa mbunifu, mwenye kufanya au kuanzisha biashara bila kuogopa, kwa kiingireza entrepreneurship is the act of being an entrepreneur, an entrepreneur is a person who is innovative and take financial and business risks

How to become an unstoppable entrepreneur/ Jinsi ya kuwa mjasiliamali thabiti.
Ili uwe mjasiliamali thabiti una hitaji mambo yafuatayo
A big dream:
if your dream does not stare you, then you should know that, that dream is within your capabilities, know that it is not a big dream. A big dream is the one that can stare you when you think of it.If you real have a dream you wont be stopped until your dream comes into reality.
Self-Esteem:
You need to be confident on yourself and determined. If you aren't confident on yourself you will fall into procrastination(the fear of success and failure) and you will do nothing and hence nothing will change in your life.

watch this video ili ujifunze kuhusu Unstoppable entrepreneur.
 

Most Reading

Sidebar One

welcome to my favorite blog, enjoy yourself