Powered by Blogger.

GREATNESS WITHIN YOU

Tuesday, May 24, 2011

you can not teach man anything;you can only help him find it within himself. Galileo
kila binadamu ana uwezo ndani yake, uwezo huu ndio unaomfanya mtu aweze kuyafanya yale anayoyafanya. Watu wengi hawajatambua uwezo ulio ndani yao na hivyo wanashindwa kufanya makubwa na kuishia kuiga mambo waliyofanya wengine
JINSI YA KUTAMBUA UWEZA NDANI YAKO
Penda ushindani: katika kila unachofanya jitahidi ufanye katika kiwango cha juu zaidi, hata kama ukisifiwa basi usibweteke jitahidi ukivuke kiwango ulichofikia mara ya kwanza, ushindani ni kinyume kabisa na kulalamika, ushindani ndio suluhisho la tabia za kulalamika ambazo zinarudisha maendeleo nyuma
Toka mahali ulipo, usiridhike na hali uliyonayo, hii itakujengea hari ya kutaka ushindani
Tizama video hii ikusaidie zaidi

No comments:

Post a Comment

 

Most Reading

Sidebar One

welcome to my favorite blog, enjoy yourself